JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA JWT
ilia asisiswa na wafanyabishara kutoka mikoa mbalimbali kufuatia kadhia na changamoto za wafanyabioashara kukosa watu sahihi wa kuzisemea ndipo Uongozi wa Jumuiya ya wafanyabiashara kariakoo ilipounda kikosi kazi cha kuwaunganisha wafanyabishara na kuitisha mkutano wa wafanyabiashara wa kariakoo na wawakilishi kutoka mikoa mbalimbali
ikumbukwe mkutano huu ulifanyika DIAMONDI JUBELEE na mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Abdalah Omari Kigoda [MB] ambae ni Marehemu
baada ya kikao hicho viongozi wa Kariakoo waliketi na viongozi kutoka mikoa mbalimbali na kuchagua Viongozi wa mpito na kuwapa maazimio Matatu
KUWAUNGANISHA WAFANYABIASHARA NCHI NZIMA
KUSAJILI JUMUIYA
KUANDIKA KATIBA
Viongozi walipewa Muda wa miaka miwili
walio chaguliwa ni

1. JOHNSON MINJA Mwenyekiti
2. PATRICK MASAGATI Makamu M/K
3. SUED CHEMUCHEM Katibu Mkuu
3. AMOD MCHAPAKAZI N.Katibu
4. SEIF SAID  Mtunza Hazina
5. JEDAH HASABUBABA Mshauri
6. PHILIMIN CHONDE Mshauri
7. STEPHEN CHAMLE Afisa Habari
8. ABDALAH HEMED Mjumbe
9. TOMAS PERA Mjumbe
10. JULIANA NG'ONDA Mjumbe
11. MORIA KIBANGA Mjumbe
12. GETRUDE MAMBOLEO Mjumbe
13. SHAHAME MJAKA KHAJI Mjumbe
14. GERALD MWANILWA Mjumbe
15 STANLEY MWAKIPESILE Mjumbe
hawa ndio viongozi waasisi wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania JWT