TAARIFA KWA VIONGOZI WOTE NCHINI

Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania JWT, unapenda kuwakaribisha Viongozi wote wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania kutoka Nchi nzima kuhudhuria Mkutano Mkuu wa JWT utakaofanyika tarehe 16 na 17 Novemba 2022, Nefaland Hotel_Manzese jijini Dar es salaam.

Hivyo kutokana na unyeti wa Mkutano huu tunaomba Wajumbe husika wote wenye sifa ya Mkutano huu tusipange kukosa kwa umuhimu wake na mustakabali wa biashara zetu nchini kwa maana ya

i)BODI YA WADHAMINI

ii)BODI YA UONGOZI

iii)SEKRETARIETI TAIFA

iv)SEKRETARIETI ZA KILA KANDA NA MKOA

v)MWENYEKITI NA KATIBU WA KILA  WILAYA

LIVE | ADHUHURI LIVE - AZAM TV Changamoto za Wafanyabiashara

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Adallah Mwinyi akifanya mahojiano ya moja kwa moja na Mwandishi wa Azam TV kwenye kipindi cha ADHUHURI LIVE - AZAM TV 26/11/2020